Mkurugenzi wa Wezesha Dr.Lusako ahudhuria Tambiko la Waluguru Mkoani Morogoro

Tambiko la Waluguru lilìfanyika katika Uwanja wa Gofu-Mkoani Morogoro, Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya Advocate Albert Msando, Mkurugenzi wa Wezesha Dr.Lusako alikuwa mweka hazina wa Tambiko ilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *